Paul Clement - Nashangilia

Chorus / Description : Nashangilia sababu Mungu,
Amejibu haja ya moyo Wangu

Nashangilia Lyrics

Nashangilia sababu Mungu,
Amejibu haja ya moyo Wangu

Kwa Imani yangu Amenijibu,
Maswali Magumu Ya Moyo wangu,
Ameniambia Amerejesha, kilichopotea aah
Nami sina budi kushangilia,
Japo sijaona Kwa Macho,
Ila naamini neno Lako... Bwana Ni kweli,

Amenijibu Maombi AMejibu kwa wakati...
Heiyee Heiyee Amejibu kwa Wakati. X3
Kwa Kushangilia,Kuta za Yeriko zimeanguka,Amefanya Njia mbele Yangu..
Amejibu kwa wakati  X2

Bwana Kwako Kuna Kila jibu la kila swali la moyoni
Akili yangu ifikapo mwisho Wewe ndipo Unaanzia

Nashangilia Video

  • Song: Nashangilia
  • Artist(s): Paul Clement


Share: