Mwema (Good) Lyrics + Video

Wewe ni Mwema
Umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Unatupenda,unatupenda
Wewe ni Mwema

Mwema (Good) Lyrics

Verse 1 (Paul Clement)
Wema wako si kwa wakati wa furaha tu,
Wema wako pia wakati
Hata wa machozi,
Wema wako haupimiki
Kwa majira fulani tu,
Wema wako ni kila wakati na kila nyakati, 
Hata sasa ni Mwema
Tunapoimba ni Mwema,
Tunapolia ni Mwema
Tunapo cheka ni Mwema,
Tunapopanda ni Mwema
Tunapovuna ni Mwema,

CHOURUS 
Wewe ni Mwema
Umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Unatupenda,unatupenda
Wewe ni Mwema.

Verse 2 (Bella kombo)

Wema wako ni kama mchanga siwezi kuhesabu,
Wema wako ni kama maji
Yanayomiminika bila kukoma, 
Mtu akinge ama asikinge 
Hayataacha kutoka,
Hata sasa ni Mwema,
Tunapoimba ni Mwema,
Tunapolia ni Mwema
Tunapo cheka ni Mwema

CHOURUS 
Wewe ni Mwema
Umwemaaa 
Wewe ni Mwema,
Unatupenda,unatupenda 
Wewe ni Mwema.Your goodness, is not only in good times
Your goodness is also seen in times of grief
Your goodness is not only measured in certain seasons 
Your goodness is in every moment and in every season

Even now You are good
As we sing, You are good
As we cry, You are good
As we laugh, You are good
As we sow, You are good
As we harvest, You are good.

Chorus
You are good
You are good
You are good

Your goodness is like the sand, it cannot be counted
Your goodness is like running water that flows endlessly
Whether or not somebody fetches, it never ceases to flow

Even now, You are good
As we sing, You are good
As we cry, You are good
As we laugh, You are good
As we sow, You are good
As we harvest, You are good


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mwema (good):

0 Comments/Reviews