Pitson - Neno Moja

Chorus / Description : Nena neno moja tupone
Neno moja tupone eeh
Nena neno moja tupone
Neno moja tupone eeh

Neno Moja Lyrics

Hali mbaya tunayopitia 
Imani yetu inafifia eeh 
Najua Baba unasikia 
Maombi yetu,maombi yetu

Safari yetu yatulemea 
Twashindwa hata kuendelea
Ni wewe Baba twategemea 
Twakuangalia utuponyee eeh

Nena neno moja tupone 
Neno moja tupone eeh
Nena neno moja tupone 
Neno moja tupone eeh

Neno lako ndilo twategemea 
Neno lako ndilo twangojea 
Neno lako litumulikie 
Njia yetu ewe Mungu 
Ukinena yote tutapokea 
Tutapata vyote tulivyopoteza 
Hakuna jambo linakulemea 
Twakuangalia utuponyee 

Nena neno moja tupone 
Neno moja tupone eeh
Nena neno moja tupone 
Neno moja tupone eeh

Neno Moja Video

  • Song: Neno Moja
  • Artist(s): Pitson + Bire The Vocalist


Share: