Chorus / Description :
Mimi najua sirudi nyuma
Naendelea mbele
Mimi najua sirudi nyuma
Naendelea mbele
Translation
I know I'm not going back
I'm moving forward
Nikiwiza nilikotoka
Nikifikiria yale yote nimepitia
Nakumbuka ushindi
Nakumbuka machozi yote yamo moyoni
Nikiwiza nilikotoka
Nikifikiria yale yote nimepitia
Mazuri na mabaya
Nimeaumua sitaishi pale
Mimi najua sirudi nyuma
Naendelea mbele
Mimi najua sirudi nyuma
Naendelea mbele
Yaliyopita si ndwele
Naganga yajayo
Nashukuru kwa yote yaliyonijenga
Na kwa kuinuliwa
Sitaenda mbele kama naangalia ya kale
Nitatarajia yanayojiri
Nashukuru kwa yote nimejifundisha
Nashukuru nimekuwa
Mimi najua sirudi nyuma
Naendelea mbele
Mimi najua sirudi nyuma
Naendelea mbele
Mimi najua sirudi nyuma
Naendelea mbele
Chorus translates to
I know I'm not going back
I'm moving forward