Chorus / Description :
Heri siku moja mbele zako, kuliko siku elfu mbali na wewe
Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima.
Ewe Mungu wa majeshi, ninapenda kukaa nawe,
maskani zako zapendeza, nazikondea kwa shauku kubwa
Heri siku moja mbele zako, kuliko siku elfu mbali na wewe
Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima.
Moyo na mwili wangu Bwana viakulilia Mungu wangu,
heri nikose viote Baba, lakini nikupate wewe