Sifaeli Mwabuka - Imani Yako ni Ufunguo

Chorus / Description : Mwanzo wa imani yako ndipo huja mafanikio yako
Mungu yupo usisoneneke
Weka imani mbele

Imani Yako ni Ufunguo Lyrics

Mwanzo wa imani yako ndipo huja mafanikio yako 
Usikate tamaa unapoona unachelewa kujibiwa maombi 
Usivunjike moyo amini Mungu yupo 
Matitizo uliyo nayo ajua changamoto za maisha yako ndugu 
Ugumu wa maisha kipimo cha kila moja wahenga walisema 
Japokuwa mazito kwako weka imani mbele 
Haujui mwisho lini vumilia ndugu 
Mungu yupo 

Mungu yupo usisoneneke  
Mungu yupo usisoneneke 
Weka imani mbele 
Weka imani mbele

Imani Yako ni Ufunguo Video

  • Song: Imani Yako ni Ufunguo
  • Artist(s): Sifaeli Mwabuka


Share: