Chorus / Description :
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Niende wapi nikwache wewe, Yesu uu uu.
Wewe unalo neno la maisha
Niende wapi nikwache wewe, Yesu Uu uu.
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Yesu wee

Niende wapi nikuache wewe
Unayejua nitokako na niendako
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Basi ni bora maana yeye angojeaye
Hutarajia kupata kitu
Basi usiwe na haraka, mpendwa mwenzangu
aliyewatendea wengine atakutendea
Basi usiwe na haraka, mpendwa mwenzangu
Aliyewainua wengine, atakuinua
Basi usiwer na haraka,
aliyebariki wengine, atakubariki pia
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako, nasubiri malangoni pako.