Chorus / Description :
Umeinuliwa juu umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa juu umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa juu umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Kama yule nyoka wa shaba alivyoinuliwa
Msalabani ukainuliwa juu ya ngome na mamlaka
Wote wanakutazama wanapata tumaini
Tunakuinuwa Bwana umeinuliwa juu
Umeinuliwa juu umeinuliwa Juu
(Juu ya falme zote)
Umeinuliwa umeinuliwa
(Juu ya magonjwa )
Umeinuliwa Juu
(Juu ya shida zetu)
Umeinuliwa umeinuliwa
(Juu ya fahamu za wanadamu)
Umeinuliwa Juu
Kumbbukeni mwizi msalabani aliomba
Eh Yesu unikumbuke utakapofika paradiso
Akatubebea huzuni mateso hata magonjwa yetu
Juu ya falme na mamlaka umeinuliwa juu
Umeinuliwa juu umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Niketi nawe katika mkono wa kulia
Pamoja naye Baba yangu na roho mtakatifu
Naungana na makerubi na maserafi
Nikisema uinuliwe uhimidiwe
Uliyenilipia garama yote
Umeinuliwa juu umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Zaidi ya wafalme
Zaidi ya miungu yote
Umetukuka umeheshimika
Eh Mungu umeinuliwa
Nami leo nakuinuwa
Nainua mikono yangu
Ndio maana nakuimbia eeh
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa juu umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa juu umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa Juu