Waweza (Able) Lyrics

Waweza waweza waweza mwokozi
waweza mambo yote wewe mwaminifu

Bwana Mungu wangu weee
umenikombowa eee
umeniwezesha mimi wewe ni mkuu
ukaniita kwa jina langu eeeee
ukaniwezesha bwana eee
nikuabudu bwana nikuimbie
nilipokuwa kwenye dhambi ukanionyesha mwanga mwanga
wewe ni mwanga wangu bwana wewe ni mkuu.
.

Chorus:
Waweza waweza waweza mwokozi
Waweza mambo yote wewe mwaminifu x2


Bwana mungu wangu eee
wewe ulimsaidia ayubu
alipokuwa na shida nyingi bwana ulikuwa naye
neno lako linasema unazo fedha eeeeee
zote nizako bwana wewe ni muweza

Waweza waweza waweza mwokozi
Waweza mambo yote wewe mwaminifu x2


Wakati ninazo shida na magonjwa bwana unasema tuliite jina lako
wewe ndiye muweza wewe ndiye mwenye nguvu wewe ni kimbiliyo baba
waweza mambo yote..

Waweza waweza waweza mwokozi
Waweza mambo yote wewe mwaminifu x2


unaweza unaweza unaweza baba unaweza x2 .

Translation Chorus: 
You are able
You are able Savior 
You are able to do all things 
You are faithful

Waweza (Able) VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Waweza (able):

0 Comments/Reviews