Chorus / Description :
Yesu wangu umeniponya roho yangu
Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru
Nainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi
Bali ni watoka kwako yesu
Yesu wangu umeniponya roho yangu
Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru
Nainua macho yangu
Nitazame marafiki
Usaidizi wangu watoka wapi
Bali ni watoka kwako yesu
Yesu wangu umeniponya roho yangu
Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru
Nainua macho yangu
Nitazame familia yangu
Uponyaji wangu watoka wapi
Bali ni watoka kwako yesu
Yesu wangu umeniponya roho yangu
Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru
Nainua macho yangu
Nitazame ninaowajua
Amani yangu yatoka wapi
Bali ni watoka kwako yesu
Yesu wangu umeniponya roho yangu
Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru
Yesu wangu umeondoa aibu yangu
Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru
...