Imani Yako ni Ufunguo

By Sifaeli Mwabuka

Lyrics

Mwanzo wa imani yako ndipo huja mafanikio yako 

Usikate tamaa unapoona unachelewa kujibiwa maombi 

Usivunjike moyo amini Mungu yupo 

Matitizo uliyo nayo ajua changamoto za maisha yako ndugu 

Ugumu wa maisha kipimo cha kila moja wahenga walisema 

Japokuwa mazito kwako weka imani mbele 

Haujui mwisho lini vumilia ndugu 

Mungu yupo 


Mungu yupo usisoneneke  

Mungu yupo usisoneneke 

Weka imani mbele 

Weka imani mbele

IMANI YAKO NI UFUNGUO ( OFFICIAL VIDEO) BY SIFAELI MWABUKA