Sifaeli Mwabuka - Wakati Wangu ni Lini

Chorus / Description : Nawe ukamsikia Baba
Wakati wangu ni lini Baba?
Wakati wangu ni lini Baba niambie
Niambie ni lini Baba
Niambie ni lini Mungu wangu

Wakati Wangu ni Lini Lyrics

Nijiuliza sana 
Nijiuliza sana kila siku  
wakati wangu ni lini 
wakati wangu ni lini?

Wakati wa kukutana na wewe
Wakati wa kuona mkono wako 
Wakati wa kuona baraka zako  
Wakati wa kuinuliwa na wewe 
Wakati wangu ni lini?
Wakati wangu ni lini?

Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu 
Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu 

Wengi wamesema subira huvuta heri 
Wengi nimesia mvumilivu hula mbivu 
Wengi wamesema subira huvuta heri 
Wengi nimesia mvumilivu hula mbivu 

Hezekia alikwita Mungu wangu 
Nawe ulimsikia Baba 
Ulipotuma mtumishi wako Eliya 
Atengeneze mambo ya nyumbani mwake 
Ndipo Ezekia akageuka akukuita Mungu wangu 
Nawe ukamsikia Baba 
Wakati wangu ni lini Baba? 
Wakati wangu ni lini Baba niambie 

Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu 
Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu 

Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu 
Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu 

Wakati Wangu ni Lini Video

  • Song: Wakati Wangu ni Lini
  • Artist(s): Sifaeli Mwabuka


Share: