Chorus / Description :
Jina lako Yesu
Lina uweza, aaa
Jina lipitalo majina yote
Duniani na mbinguni
Tena lenye mamlaka yote
Humu ulimwenguni
Limeinuliwa juu (Jina La Yesu x2) x2
Jina lako Yesu x2
Lina uweza, aaa x2
Kila goti litapigwa
(Kwa jina la Yesu)
Na kila ulimi utakiri
(Kwamba wewe ni Bwana)
Yesu, Yesu, Yesu
Ninakwita usiyeshindwa
Kifo na kaburi ulivishinda
Nguvu zako ziko juu ya dunia yote
Umekirimiwa jina lenye uweza wote
Nguvu ni zako, ufalme ni wako
mamlaka ni yako, hata milele
Katika wewe tunapata ushindi, ushindi
Limeinuliwa juu (Jina la Yesu x2)
Juu ya mamlaka yoote
Juu ya nguvu zote