Paul Clement - Namba moja

Chorus / Description : Jina lako Yesu
Lina uweza, aaa

Namba moja Lyrics

Jina lipitalo majina yote
Duniani na mbinguni
Tena lenye mamlaka yote
Humu ulimwenguni
Limeinuliwa juu (Jina La Yesu x2) x2

Jina lako Yesu x2
Lina uweza, aaa x2

Kila goti litapigwa
(Kwa jina la Yesu)
Na kila ulimi utakiri
(Kwamba wewe ni Bwana)
Yesu, Yesu, Yesu

Ninakwita usiyeshindwa
Kifo na kaburi ulivishinda
Nguvu zako ziko juu ya dunia yote
Umekirimiwa jina lenye uweza wote
Nguvu ni zako, ufalme ni wako
mamlaka ni yako, hata milele
Katika wewe tunapata ushindi, ushindi

Limeinuliwa juu (Jina la Yesu x2)
Juu ya mamlaka yoote
Juu ya nguvu zote

Namba moja Video

  • Song: Namba moja
  • Artist(s): Paul Clement


Share: