Ni neema ya mkombozi - Nimefanyika kuwa mwana Lyrics + Video

Swahili Songs Playlist Music Videos

Ni neema ya mkombozi - Nimefanyika kuwa mwana Lyrics

Mp3 Song

Ni neema ya mkombozi
Ni neema sikustahili
Ni neema ya mkombozi
Nineema sikustahili

Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki

Ukuhani wa kifalme
Uzaao mteule
Mtu wa milki ya mungu
Nimefanyika kuwa mwana

Ukuhani wa kifalme
Uzaao mteule
Mtu wa milki ya mungu
Nimefanyika kuwa mwana

Kwa kazi ya msalaba
Yakale yoteyamepita
Tazama yamekuwa mapya
Nimefanyika kuwa mwana

Kwa kazi ya msalaba
Yakale yoteyamepita
Tazama yamekuwa mapya
Nimefanyika kuwa mwana

Ni neema ya mkombozi
Ni neema sikustahili
Ni neema ya mkombozi
Nineema sikustahili

Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Ni Neema Ya Mkombozi - Nimefanyika Kuwa Mwana:

0 Comments/Reviews