Kambua - Nishikilie Niongoze mbali na maovu Baba eeh

Chorus / Description : Nishikilie Niongoze
Mbali na waovu Baba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele

Nishikilie Niongoze mbali na maovu Baba eeh Lyrics

Wewe ni nguzo yangu
Wewe kimbilio langu
Mwanga wangu Baba yangu
Nikikimbia nimkimbilie nani?
Nikilia nimlilie nani?
Nikianguka nani aniamshaye
Nikilala nani anilindaye

Nishikilie Niongoze
Mbali na waovu Baba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele

Nishikilie Niongoze
Mbali na waovu Baba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele

Gongo lako
Na fimbo lako
Lanifariji Baba eeh
Waandaa meza mbele yangu
Machoni pa watesi wangu

Nishikilie Niongoze
Mbali na waovuBaba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele

Nishikilie Niongoze
Mbali na waovuBaba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele

@Kambua Nishikilie (Touch Me)

Nishikilie Niongoze mbali na maovu Baba eeh Video

  • Song: Nishikilie Niongoze mbali na maovu Baba eeh
  • Artist(s): Kambua


Share: