Chorus / Description :
Wewe ndiwe, wewe ndiwe
Wewe ndiwe mfalme mkuu
Nilikuwa nimekosa tumaini maishani
Lakini Yesu akaniokoa
Chorus
Wewe ndiwe, wewe ndiwe
Wewe ndiwe mfalme mkuu
Nilikuwa nimekosa tumaini maishani
Lakini Yesu akaniokoa
Nilikuwa niangamie, nianguke, nipotee
Lakini Yesu akaniokoa
Pre-Chorus
Napigwa na butwa, ninashangaa nimezubaa
Wema wako hauna kipimo
Napigwa na butwa, ninashangaa nimezubaa
Nguvu zako, zako hazina kipimo
Chorus
Wewe ndiwe, wewe ndiwe
Wewe ndiwe mfalme mkuu
Nilikuwa nimezama
Shida nyingi upande zote
Lakini Yesu akaniokoa
Nilikuwa nimefungwa
Nimeshindwa, nimezidiwa
Lakini Yesu akaniokoa
Pre-Chorus
Napigwa na butwa, ninashangaa nimezubaa
Wema wako hauna kipimo
Napigwa na butwa, ninashangaa nimezubaa
Nguvu zako, zako hazina kipimo
Chorus
Wewe ndiwe, wewe ndiwe
Wewe ndiwe mfalme mkuu
Bridge
Shangwe na nderemo
Furaha ya ajabu
We umeniona
Mwokozi wangu
Post Chorus
Wewe ni, wewe ni,
Wewe, wewe
Wewe ni, wewe ni
Mwokozi wangu