28 Anipenda Ni Kweli Lyrics

Anipenda ni kweli, Mungu anena hili,
Sisi wake watoto, kutulinda si zito.

CHORUS:
Yesu Mwokozi, ananipenda,
Kweli hupenda, Mungu amesema.

Kwa kupenda akafa, niokoke na kifo,
Atazisafi taka, sana ataniweka.

Anipenda kabisa, niuguapo sasa,
Anitunza mbinguni, niliyelala chini.

Kunipenda haachi, tu sote hapa chini,
Baada ya mashaka, kwake tanipeleka.

28 Anipenda Ni Kweli VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of 28 Anipenda Ni Kweli:

0 Comments/Reviews