Angela Chibalonza - Amini Amini Nakwambia

Chorus / Description : Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima
Ni mwokozi aliyenifia
Nitoke dhambini alisema
Yeye aliyemwamini Bwana anao uzima

Amini Amini Nakwambia Lyrics

Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima

Ni mwokozi aliyenifia
Nitoke dhambini alisema
Yeye aliyemwamini Bwana anao uzima

Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima

Dhambi zangu zote zilichukuliwa
Deni zangu zote zilipwa
Wote waliomwamini Bwana, wanao uzima

Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima

Ijapo ningekuwa maskini
Ijapo ningekuwa mkosaji
Neno la furaha la mwokozi, ninao uzima

Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima

Na sina shaka nitamwamini
Yeye ajaye kwake hatupwi
Amwaminiye tuma habari, tunao uzima

Amini Amini Nakwambia Video

  • Song: Amini Amini Nakwambia
  • Artist(s): Angela Chibalonza


Share: