Chorus / Description :
VUliniumba nikuabudu
Uliniumba nikuabudu
kw ajili yako mimi naishi
(hoo)Uliniumba nikuabudu
Uliniumba nikuabudu
Uliniumba nikuabudu
kw ajili yako mimi naishi
(hoo)Uliniumba nikuabudu
pasipo wewe singekuwepo
hoo uliniumba nikuabudu
mimmi ni kazi ya mikono yako baba
hoo uliniumba nikuabudu
Baba ninaona nikuabudu, maana matendo yako ni mengi sana
Ishara zako baba ni nyingi mno, maana wewe ndiye mungu wangu
muumba niseme matendo yako,ndiye mungu wa miungu
alleluya baba,wewe kimbilio letu na ngome yetu
Hakuna aliye kama wewee
Uliniumba nikuabudu
Uliniumba nikuabudu
Kw ajili yako mimi naimba
(hoo)Uliniumba nikuabudu
maneno ya kusema yananikosa
maana matendo yako ni ya ajabuĀ
maana ishara zako ni nyingi mno
kwa macho nimeona makuu yako
masikio nimesikia matendo yako
ndio maana nimetambua niliumbwa nikuabudu
mungu wa milele,alleluya
Uliniumba nikuabudu
Uliniumba nikuabudu
kw ajili yako mimi naishi
(hoo)Uliniumba nikuabudu
umenipa sauti nikuimbie
Uliniumba nikuabudu
hata watu wote wanajua
Uliniumba nikuabudu
Ninasema uliniumba
Uliniumba nikuabudu
wewe ni nuru ya maisha yangu baba
Uliniumba nikuabudu
wewe ni mwamba wa imani yako
hoo uliniumba nikuabudu
uliniumba nikuabudu......
All nations whom thou hast made shall come and worship before thee, O Lord; And they shall glorify thy name.