Angela Chibalonza - Jina La Yesu

Chorus / Description : Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu,limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!

Jina La Yesu Lyrics

Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu,limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!

Nililiita jina la Yesu nikapata uzima,
kanitoa matesoni akaniokoa,
na sasa naimba kwa utukufu wake,
Roho wake amenijaza sasa niko Huru,
Hu-u-u-ru!

Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu,limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!Nilipokua katika shida, sikuona rafiki,
Magonjwa na shida yakanisumbua,
masoma ya watoto nikashindwa kulipa,
Hata pesa za nyumba nikashindwa kulipa,
Marafiki kanikimbia sababu ya shida,
Nilipo ita jina la Yesu nikapata msaada,
Nilisongea akanipa, sasa nafurahi,
furahi-i-I katika Bwana Yesu

Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu,limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!
Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu,limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!

Sasa nafurahia, kuishi pamoja naye,
tangu nilipo okoka maisha imebadilika,
Na safari yangu, naelekea mbingu-u-uni

Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu,limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!
Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu,limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!

Nililiita jina la Yesu nikapata uzima,
kanitoa matesoni akaniokoa,
na sasa naimba kwa utukufu wake,
Roho wake amenijaza sasa niko Huru,
Hu-u-u-ru!

Nililiita jina la Yesu nikapata uzima,
kanitoa matesoni akaniokoa,
na sasa naimba kwa utukufu wake,
Roho wake amenijaza sasa niko huru,
Hu-u-u-ru!

Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu,limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!

Jina La Yesu Video

  • Song: Jina La Yesu
  • Artist(s): Angela Chibalonza


Share: