Chorus / Description :
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Heshima na mamlaka ni vyako)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Heshima na mamlaka ni vyako)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Wastahili utukufu Jehovah Rapha
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Unatenda maajabu Jehovah)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Sisi tumemuombea uliyemponya niwewe,
Hatugusi utukufu ni wako)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Unastahili Bwana milele)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Aliomba apate mume, Mungu umemsikia
Wa kupewea utukufu ni wewe)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Unastahili wewe duniani kote)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Aliomba apate mke, Mungu umemsikia
Wa kupewea heshima ni wewe Bwana)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Unayejibu maombi yetu)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Aliomba apate mtoto, Samweli amepatikana
Wastahili heshima Bwana)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Hatugusi utukufu ni wako)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Sisi tumehubiri, unayeokoa ni wewe
Unastahili heshima Bwana)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(utukufu wako tunauogopa sana)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Hata kama tunaimba, watu wanabarikiwa
Hatugusi utukufu ni wako)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Haleluya Hossana milele)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Uko pekee yako wa kubeba utukufu)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Tuliomba afaulu masomo, kweli umemsaidia
Masomo amefaulu usifiwe Baba )
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Hakuna mwingine duniani kote)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Tuliomba apandishwe cheo kweli amepandishwa
Heshima na utukufu ni vyako )
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Kwa kuimba na kucheza
Tunakusifu Bwana)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Sisi hatuna ujanja wa kuponya kiwete
Utukufu ni wako unayeponya)
(Wewe ulisimamisha jua wakati wa Joshua)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Tangu ulipoigawa Bahari haijawanyika tena
Hatuna ujanja zaidi yako Bwana)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Ulitembea juu ya maji
Wewe wa ajabu Bwana)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba