Sisi Sote
Lyrics
Sisi sote ni kazi ya mikono yako
Tumeumbwa kwa mfano wako
Sisi sote ni kazi ya mikono yako
Tumeumbwa kwa mfano wako
Mungu usifiwe (Mungu usifiwe)
Mungu usifiwe (Mungu usifiwe)
Halleluya (Mungu usifiwe)
Usifiwe
Seba Abujiwe ...
Sisi Sote | Bony Mwaitege | Official Audio
Song Information
- Artist
- Bony Mwaitege
- Released
- February 2, 2016
- Genre / Category
- swahili
- Views
- 2,271