Chorus / Description :
Yote alimaliza Yote Msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Dhiki zetu zote alimaliza, Yote msalabani
Vilio vyetu vyote alimaliza, Yote msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Dhiki zetu zote alimaliza, Yote msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Vilio vyetu vyote alimaliza, Yote msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Bwana wangu Yesu alimaliza, Yote msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Yote Yote, alimaliza Yote Msalabani
Bwana wangu Yesu, alimaliza yote msalabani
Taji la miba kichwani, alimaliza Yote Msalabani
Mkuki ubavuni, alimaliza Yote Msalabani