Chorus / Description :
Umefanya mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu
Umetenda mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu
Tunakutolea dhabihu na sifa
Mioyo ya shukurani
Tunasogea mbele zako kwa kukushukuru
Umefanya mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu
Umetenda mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu X2
Kwa yale umefanya
Moyo wangu wakusifu
Kwa yale umetenda
Moyo wangu wakusifu
Umetenda mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu
Umetenda mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu
Kwa yale umefanya
Moyo wangu wakusifu
Kwa yale umetenda
Moyo wangu wakusifu
Umetenda mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu
Umetenda mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu
Nimekutumaini Bwana
Nimeona mkono wako
Nimekutegemea wewe
Nimeona wema wako
Umeitimiza ahadi yako
Umelitunza neno lako
Nakushukuru Bwana
Nakushukuru wewe
Moyo wangu wakusifu
Kwa yale umefanya
Moyo wangu wakusifu
Kwa yale umetenda
Moyo wangu wakusifu
Umefanya mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu
Umetenda mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu
Kwa yale umefanya
Moyo wangu wakusifu
Kwa yale umetenda
Moyo wangu wakusifu
Umefanya mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu
Umetenda mengi Bwana
Moyo wangu wakusifu