Chorus / Description :
Wananchi wote viongozi wote
Tushikane wote tuijenge Kenya
Kenya ni nyumbani kwetu
Tuungane sote tuijenge Kenya
Akina mama hoyee
Akina baba hoyee
Vijana hoyee
Hoyee
Wananchi wote viongozi wote
(All citizens all leaders)
Tushikane wote tuijenge Kenya
(Let us hold hands together and build Kenya)
Kenya ni nyumbani kwetu
(Kenya is our home)
Tuungane sote tuijenge Kenya
(In union let us build Kenya)
Wanaolala tutoke kwa vitanda ooh
Akina mama tufunge maleso
Tusiwe tukale viongozi kwa mitandao
? ...
Wananchi wote viongozi wote
(All citizens all leaders)
Tushikane wote tuijenge Kenya
(Let us hold hands together and build Kenya)
Kenya ni nyumbani kwetu
(Kenya is our home)
Tuungane sote tuijenge Kenya
(In union let us build Kenya)