Usinipite Lyrics

by Guardian Angel in Swahili

Usinipite mwokozi unisikie 
Unapozuru wengine usinipite 

Yesu Yesu naomba unisikie 
Unapozuru wengine unisikie

Kiti chako cha rehema,
Nakitazama;
Magoti napiga pale,
Nisamehewe.

Yesu, Yesu, unisikie,
Unapozuru wengine,
Usinipite.

Sina ya kutegemea,
Ila wewe tu;
Uso wako uwe kwangu,
Nakuabudu.

Yesu, Yesu, unisikie,
Unapozuru wengine,
Usinipite.

U Mfariji peke yako,
Sina mbinguni;
Wala duniani pote,
Bwana mwingine.

Yesu, Yesu, unisikie,
Unapozuru wengine,
Usinipite.

Usinipite VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Usinipite:

0 Comments/Reviews