Huyu Yesu Lyrics

Huyu Yesu si sanamu, Si mwanadamu adanganye
Ahadi zake zote kweli Na Amina nimemuona

Na akisema Ndio, Hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wakunyang'anya
Akiku ahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyooo
Huyu Yesu, huyu Yesu, si hadithi mwambie

Unatangaziwa nini, umetabiriwa nini maishani mwako mwambie
unaumizwa na nini, je unahofu gani maishani mwako
Mwambieeee

Na akisema Ndio, Hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wakunyang'anya
Akiku ahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyooo

Huyu Yesu, huyu Yesu, si hadithi mwambie...
Onhoooo.Mwambiee ehee
Huyu Yesu, huyu Yesu, si hadithi mwambie...

@ Mercy Masika - Huyu Yesu

Huyu Yesu VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Huyu Yesu:

0 Comments/Reviews