Nikupendeze - mienendo yangu na tabia Yangu Lyrics

Oh...
oooh yeah...
yeaaaah...

oh ooh uui.
(still alive)

Mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
kuvaa kwangu na kunena kwangu kukupendeze
mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
kuvaa kwangu na kunena kwangu... naomba ah.

Nifanane nawe yesu niwe jinsi upendavyoX2
Niguze nifinyange unibeebe
niunde nitengeneze niwe kama wewe

NIKUPENDEZE
mm ah...
NIKUPENDEZE
Mhmmm...
NIKUPENDEZE
Eee...
NIKUPENDEZE
Mhmm mm...

Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe
biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe
Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe
biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe ee

Niguze nifinyage unibeebe
niunde nitengeneze niwe kama wewe X2

NIKUPENDEZE
ee baba ah maishani mwangu...
NIKUPENDEZE
Ee baba familia yangu...
NIKUPENDEZE
Oh baba yeah yea...
NIKUPENDEZE
baba mienendo yangu...

oh yea yea...
Nifanane nawe yesu niwe jinsi upendavyo
niunde nitengeneze niwe kama we we

NIKUPENDEZE
oh nikupendeze...
NIKUPENDEZE
eiye katika mienendo yangu...
NIKUPENDEZE
aah niwe sawa nawe...
NIKUPENDEZE
woye woye woye woye nitembee nawe...
NIKUPENDEZE
baba baba kwa kunena kwangu...
NIKUPENDEZE
hoye baba natamani sana.
NIKUPENDEZE
woye baba nakupenda sana...
NIKUPENDEZE
natamani sana nikupendeze...
kwa kunena kwangu
kutembea kwangu
oh niamkapo baba
wacha nikupendeze


@ Mercy Masika Nikupendeze

Message: Let me, my friends and my family please you in our walk/Work and be more like you.

Nikupendeze - mienendo yangu na tabia Yangu VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Nikupendeze - Mienendo Yangu Na Tabia Yangu:

0 Comments/Reviews