Mercy Masika - Zaidi

Chorus / Description : Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu zaidi ninakuheshimu

Zaidi Lyrics



Sijafikia na kwa hekima 
Ila kwa neema isiyo kifani yake Bwana
Damu yake ya dhamana pale msalabani 
Nikapata ukombozi, nikapata kufunguliwa 
Mungu asiyeshindwa na lolote 
Aliumba mbingu na nchi, na vyote vilivyomo

Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda 
Zaidi ninakuheshimu zaidi ninakuheshimu 

Aliyekusudia maisha yangu 
Anayekosoa makosa yangu 
Anayenielekeza kando ya majani mabichi 
Kwake napata yote nahitaji 
Nikiwa na kiu anipea uzima maji 
Yeye ndiye nahitaji
Yeye ndiye uzima na njia yangu
Ni Mungu asiyeshindwa na lolote 
Aliumba mbingu na nchi, na vyote vilivyomo

Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda 
Zaidi ninakuheshimu zaidi ninakuheshimu 

Anayenipenda kwa dhati, nitaimba wimbo wake 
Nitamsifu 

Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda 
Zaidi ninakuheshimu zaidi ninakuheshimu 

Translation English:
I have not reached here by my wisdom
But by the unparalleled grace from the Lord

His blood that saved us
There on the cross
Where i received redemption
And found salvation

He is God capable of all things
The creator of heaven and earth
And everything that is on the universe 

The more i know you
The more i love you
The more i respect you 
The more i praise you

He that intentionally planned my life
He that corrects my mistakes
Leads me beside still waters
Along green pastures

From him i get all my needs
When thirsty He gives me living water
He is what i need 
He is my life and my truth

He is God able to do everything
The creator of heavens and the earth
And everything that is on the universe 

The more i know you
The more i love you
The more i esteem you
The more i praise you 

He loves me sincerely
I will sing His songs forever
I will praise Him 
My Jesus

The more i know you 
The more i love you 
The more i esteem you
The more i praise you 

The more i know you
The more i love you
The more i esteem you
The more i praise you

Zaidi Video

  • Song: Zaidi
  • Artist(s): Mercy Masika


Share: