Paul Clement - Atainyosha Njia Yako

Chorus / Description : Atainyosha njia yako
Atainyosha njia yako
Ina mabonde (kweli)
Ina vikwazo (vingi)
Atainyosha njia yako

Atainyosha Njia Yako Lyrics

Atainyosha njia yako 
Atainyosha njia yako 
Ina mabonde (kweli) 
Ina vikwazo (vingi) 
Atainyosha njia yako 

Atainyosha njia yako 
Atainyosha njia yako 
Ina mabonde (kweli) 
Ina vikwazo (vingi) 
Atainyosha njia yako 

Atainyosha njia yako 
Atainyosha njia yako 
Ina mabonde (kweli) 
Ina vikwazo (vingi) 
Atainyosha njia yako 

Calvin John:
Njia yako ina mambo mengi
Mapito nayo mengi ila usiogope

Njia yako ina mambo mengi
Mapito nayo mengi ila usiogope

Njia yako ina mambo mengi
Mapito nayo mengi ila usiogope

Usiogope usiogope
Mungu anainyoshe njia yako

Njia yako ina mambo mengi
Mapito nayo mengi ila usiogope

Atainyosha Njia Yako Video

  • Song: Atainyosha Njia Yako
  • Artist(s): Paul Clement


Share: