Chorus / Description :
Siogopi siogopi
Siogopi siogopi
'Am not afraid
'Am not afraid
Siogopi kuchelewa
Maana Mungu wangu hachelewi wala hawai
Siogopi mateso yako
Sababu yeye ananipeleka kwenye ukuu wangu
Siogopi kudharauliwa
Maana ndiko kunanipa heshima yangu
Siogopi adui zangu
Maana najua ni adui wa Mungu wangu
Siogopi hivi vita vyako
Maana ndivyo vinanipa ushindi wangu
Siogopi siogopi
Siogopi siogopi
Siogopi siogopi
Siogopi siogopi
Am not afraid
Am not afraid
Am not afraid
Am not afraid
Nimepewa mamlaka siogopi nge na nyoka
Tawakanyaga vichwa vyao hazitanidhuru sumu zao
Yaani maneno yao
Siogopi kutembea kwenye giza
Maana mimi ni nuru ninaangaza
Siogopi kusimama juu ya mlima
Maana najua siwezi sitirika
Siogopi moto moto sababu
Lazima nipite mimi dhahabu
Ili nisimame niwe imara ndiwe kinara
Siogopi moto moto sababu
Lazima nipite mimi dhahabu
Niwe hodari niwe jasiri ndiwe kamili
Siogopi siogopi
Siogopi siogopi
Siogopi siogopi
Siogopi siogopi
Am not afraid
Am not afraid
Am not afraid
Am not afraid