Chorus / Description :
Mungu umezungukwa na sifa
Duniani na mbinguni
Mungu umezungukwa na sifa
Duniani na mbinguni
Mungu umezungukwa na sifa
Duniani na mbinguni
Mungu umezungukwa na sifa
Duniani na mbinguni
Duniani twakusifu na
Mbinguni twakusifu
Umezungukwa na sifa
Duniani twakusifu na
Mbinguni twakusifu
Mungu umezungukwa na sifa
Haleluya Haleuya
Umezungukwa na sifa
Haleluya Haleuya
Umezungukwa na sifa
(rudia kutoka juu)
Haleluya Haleuya
Umezungukwa na sifa
Haleluya Haleuya
Umezungukwa na sifa
Wenye hai wamekuzunguka pande zote
Wakisema mtakatifu ni wewe
Wakipaza sauti zao kwa nguvu
Bila kuchoka wakisema mtakatifu ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe