Paul Mwai - Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza

Chorus / Description : Wewe ndiye Mungu hubadiliki, Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo, nayo matendo yako ninayajua
Nimeliguza vazi lako Elohim, nayo maisha yangu ukayabadilisha

Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza Lyrics

Nimeliguza vazi lako Elohim, nayo maisha yangu ukayabadilisha
Nimekujua Hosonna, tena kanipa uhai bila kulipa
Mie nitaubeba mzigo wako Rabii, kwa kuwa mzigo wako ni mwepesi sana
Nira yako ni laini eeh Masiya, natamani nifanane nawe siku zote

Wewe ndiye Mungu hubadiliki, Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo, nayo matendo yako ninayajua

Asante kwa uaminifu wako
Nilikuwa mtoto sasa mi ni mzee, sijaona siku moja umenitenga
Nisi wanilinda kama mboni lako, hesabu za nywele yangu waielewa

Wewe ndiye Mungu hubadiliki, Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo, nayo matendo yako ninayajua

Niyo maana ninaimba, Utukufu wako wa milele
Sasa Ebenezar, jibu langu, pumzi uhai wangu tegemeo langu
Huna mwisho wala huna mwanzo Yahweh, natamani nifanane nawe siku zote

Wewe ndiye Mungu hubadiliki, Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo, nayo matendo yako ninayajua

Swahili Lyrics For Touched Lyrics

Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza Video

  • Song: Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza
  • Artist(s): Paul Mwai

Share: