Lyrics Page

Nitaimba sifa Zako - Nitatangaza

By Paul Mwai

4,677 views Jun 6, 2026 updated
oh ninakutamani sana
Nitatangaza matendo yako dunia yote ikujue Adonai
hakuna mungu kama wewe.
Umetukuka dunia yote
umenitoa mbali sana, umehifadhi roho yangu mimi nikusifu
naimba Emanueli nakuabudu, unastahili
nitaimba sifa zako umbali umenileta ebeneza wewe ndiye Mungu

Nitaimba sifa zako Hosanna, walio uhai wakujue
umbali umenileta Ebeneza, wewe ndiye Mungu.
Nitaimba sifa zako Hosanna, walio uhai wakujue
umbali umenileta Ebeneza, wewe ni Mungu.

Umenitoa mbali sana, Jina lako Jiree limeninasua
Kwenye magonjwa mikosi pia, hata umasikini
umevunja laana zote, umenipa heshima uhai bure.
Mwamba imara hutingiziki, wewe ndiye Mungu

Nitaimba sifa zako Hosanna, walio uhai wakujue
umbali umenileta Ebeneza, wewe ndiye Mungu.
Nitaimba sifa zako Hosanna, walio uhai wakujue
umbali umenileta Ebeneza, wewe ndiye Mungu.

Pokea sifa zangu Bwana
Umeokoa nafsi yangu, umejitwika hayaa nipate heshima
Uhai wako ukatoa niishi, Yahweh nakuabudu
nitaimba sifa zako, nitatangaza wema wako Hosanna
wenye mataifa wakujue, wema na mwaminifu

Nitaimba sifa zako Hosanna, walio uhai wakujue
umbali umenileta Ebeneza, wewe ndiye Mungu.
Nitaimba sifa zako Hosanna, walio uhai wakujue
umbali umenileta Ebeneza, wewe ndiye Mungu.

Official Video

Save Your Favorites

Create a free account to save songs, build your personal library, and connect with the Zion community.

Create Free Account

Join the Zion Community

Create a free account to save your favorite lyrics, submit song suggestions, and connect with fellow worshippers.

No spam. Unsubscribe anytime.