Anza Vyote na Yesu
By Sifa Music
Lyrics
Anza vyote na Yesu kila kunapokucha
umweleze Yeye shida zako..
anza vyote na Yesu.
Kila siku anza na Yesu
asubuhi ata na jioni
mwambie shida zako..
anza vyote na Yesu.
Manabii na mitume walianza na Yesu
wakapata mema kwake Yesu.
anza vyote na Yesu.
Kila siku anza na Yesu
asubuhi ata na jioni
mwambie shida zako..
anza vyote na Yesu.
Piga makoti omba
zungumuza na Yesu
atakujibu mambo yako.
anza vyote na Yesu.
Kila siku anza na Yesu
asubuhi ata na jioni
mwambie shida zako..
anza vyote na Yesu. (x2)
ANZA VYOTE NAYE YESU- THE SAINTS MINISTERS LATEST
Song Information
- Artist
- Sifa Music
- Released
- March 29, 2018
- Genre / Category
- swahili
- Views
- 2,835