Neema Gospel Choir - Msalabani

Chorus / Description : Msalabani pa Mwokozi,
(At the cross of our savior)
Wapatikaana ukombozi.
(There’s redemption)
Ni kazi ya thamani yake Yesu
(It’s the precious work of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

Msalabani Lyrics

Msalabani pa Mwokozi, 
(At the cross of our savior)
Wapatikaana ukombozi.
(There?s redemption)
Ni kazi ya thamani yake Yesu 
(It?s the precious work of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

Msalabani pa Mwokozi, 
(At the cross of our savior)
Wapatikaana ukombozi.
(There?s redemption)
Ni kazi ya thamani yake Yesu 
(It?s the precious work of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

Tumesamehewa dhambi hatuna deni, 
(Pardoned our sins, we are dept free)
Amelipa yote Bwana hatuna deni ,
(He paid it all, we are dept free)
Ni kazi ya thamani yake Yesu 
(It?s the precious work of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

Unyenyekevu uvumilivu na upendo
(Humility, perseverance, and love)
Huruma nyingi na fadhili kwetu
(For his mercifulness to us)
Ni sifa za thamani zake Yesu 
(It?s the precious attribute of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

Tumesamehewa dhambi hatuna deni, 
(Pardoned our sins, we are dept free)
Amelipa yote Bwana hatuna deni ,
(He paid it all, we are dept free)
Ni kazi ya thamani yake Yesu 
(It?s the precious work of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

Msalabani (Live Easter Edition) - Neema Gospel Choir

  • Song: Msalabani
  • Artist(s): Neema Gospel Choir

Msalabani (Official Live Music) - Neema Gospel Choir (AICT Chang’ombe)

Alama ya ukombozi wetu. Kwa upendo mkuu Yesu alijitoa kufa kwa mateso na aibu ili sisi wanadamu tuokolewe dhambini na ...



Share: