Enid Moraa - Sifa Zote

Chorus / Description : Sifa zote ni zako Bwana
Kwa yale yote unayofanya
Viumbe vyote vyakusifu uuh
Na sisi wana wako tunakuabudu

Sifa Zote Lyrics

Sifa zote ni zako Bwana
Kwa yale yote unayofanya
Viumbe vyote vyakusifu uuh
Na sisi wana wako tunakuabudu

Sifa zote ni zako Bwana
Kwa yale yote unayofanya
Viumbe vyote vyakusifu mwokozi wetu
Na sisi wana wako tunakuabudu

Kwani ni wee, Kwani ni wewe unatupenda
Nani aokoa, nani atupenda niwee
Umeniokoa, niwe niwe niwee
Nani mfariji niwee, nani abariki niwee
Tunasifu niwee niwee niwee

Sifa zote ni zako Bwana
Kwa yale yote unayofanya
Viumbe vyote vyakusifu uuh
Na sisi wana wako tunakuabudu

Kwani ni wee, Kwani ni wewe unatupenda
Nani aokoa, nani atupenda niwee
Umeniokoa, niwe niwe niwee
Nani mfariji niwee, nani abariki niwee
Tunasifu niwee niwee niwee

Sifa zote sifa zote mkombozi ni wewe
Yesu Yesu Yesu utukuzwe milele
Kwani ni wee, Kwani ni wewe unatupenda


Sifa Zote Video

  • Song: Sifa Zote
  • Artist(s): Enid Moraa


Share: