Chorus / Description :
Hutimiza maagano
Wewe ni Mungu usiyeshindwa
Hutimiza maagano
Wewe ni Mungu usiyeshindwa
Hutimiza maagano
Wewe ni Mungu usiyeshindwa
Iyelele ma, Iyelele ma
Iyelele ma, Iyelele ma
Hutimiza maagano
Wewe ni Mungu usiyeshindwa
Unaweza unatosha
Ukisema unafanya
Unaweza unatosha
Ukisema unatenda
Mwaminifu ndiwe, mkamilifu ndiwe
Ukisema unafanya, ukiahidi unatenda
Mwaminifu ndiwe, mkamilifu ndiwe
Ukisema unafanya, ukiahidi unatenda
Bwana waweza, Yesu waweza
Twakuamini twakuamini
Bwana waweza, Yesu waweza
Twakuamini twakuamini