Chorus / Description :
Nikufahamu zaidi Bwana aah, nikujue zaidi Yesu
Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele Bwana aah

Nataka nitembee na wewe wakati wote
Nitembee kwa nuru yako Baba eeh
Nishirikiane na wewe eeh kwa kila jambo
ongoza hatua zangu, ewe Baba,ongoza hatua zangu ewe Baba
Ongoza hatu hatua zangu Yesu uu
Nikufahamu zaidi Bwana aah, nikujue zaidi Yesu
Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele Bwana aah
Wewe ni mume wa wajane, baba wa yatima mfariji wa waliofiwa
Mtetezi wa wanyonge, unaponya waliovunjwa mioyo
Nakuzinganda jeraha zao Baba eeh
Hawa wote tengemeo lao ni wewe Baba
Ndiposa wanasema
Nikufahamu zaidi Bwana aah, nikujue zaidi Yesu
Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele Bwana aah
Nikufahamu, Nikujue
Nikufahamu Nikujue
Nikufahamu zaidi Bwana aah, nikujue zaidi Yesu
Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele Bwana aah
To Know you More Lord
@wanjiru