Chorus / Description :
Tunakuinua juu
Wewe ni Bwana wa mabwana Yesu wee
Tunakuinua juu Yesu wee
Tunakuinua juu
Wewe ni Bwana wa mabwana Yesu wee
Tunakuinua juu Yesu wee
Duniani na mbinguni
Wewe ndio Bwana wa Mabwana
Alpha na Omega wewe ndio mwanzo tena mwisho
Ndani ya maisha yangu wewe unatawala
Tunakuinua juu kwa hali ngumu
Na kwa magonjwa tunakuinua Baba
Wewe pekee yako
Tunakuinua juu
Wewe ni Bwana wa mabwana Yesu wee
Tunakuinua juu Yesu wee
Malaika mbinguni wanakuinamia Yesu
Na sisi duniani tunakuinua juu
Wewe ni maji ya uzima unatuliza kiu yangu yesu
Tena mkate wa uzima unashibisha haja za moyo
Simba wa kabila la Yuda unapigana vita vya wana wako
Dakitari wa madakitari unaponya magonjwa yote Bwana
Wewe ni maji ya uzima unatuliza kiu yangu
Tena mkate wa uzima unashibisha haja ya moyo wangu Bwana
Simba wa kabila la Yuda
Tunakuinua juu
Wewe ni Bwana wa mabwana Yesu wee
Tunakuinua juu Yesu wee