Rafiki Mwema

By Erick Smith

Lyrics

Tulipokutana nilikuwa nakuhitaji ii 

Ukawa jibu kwa mahitaji yangu 

Ukanipenda mimi nika tosheka 

Ukanifanya mboni ya jicho lako

Nikiwa nawe mimi sina hofu kamwe 

Bwana Yesu wee rafiki mwema aaa aah 


Nimempata rafiki mwema 

Upendo wake hauna tashwishi 

Akikupenda amaaanisha 

Wakati wa shida wakati wa raha 

Hawezi kuacha 

(rudia *2)

Iyelele Iyelele 

Iyelele hii hii 

Iyelele hii Yesu rafiki mwema 


Wote waliompokea wana raha 

Wana amani hawana wasiwasi 

Nimeona wajane mayatima na walio kata tamaa 

Wakiimba nyimbo za furaha eeeee 

Ndani yake tunaishi tunaenenda Bwana wangu 

Tuna uhai Yeus rafiki mwema aaah 

Ndani yake tunaishi sisi tunaenenda 

Tuna uhai Yesu rafiki mwema 


Nimempata rafiki mwema 

Upendo wake hauna tashwishi 

Akikupenda amaaanisha 

Wakati wa shida wakati wa raha 

Hawezi kuacha 

(rudia *2)

Iyelele Iyelele 

Iyelele hii hii 

Iyelele hii Yesu rafiki mwema 

Erick Smith - Rafiki Mwema Video Lyrics