Sipiganagi Mwenyewe

by Martha Mwaipaja

Mwenzio sipiganagi mwenyewe 

Ninapiganiwa na Baba 

Mwenzio sishindanangi mwenyewe 

Ninashindiwa na Baba 

Mwenzio sipiganagi mwenyewe 

Ninapiganiwa na Baba 


Mwenzio sipiganagi mwenyewe 

Mwenzio sishindani mwenyewe 

Mimi vita sijui 

Mimi vita siwezi 

Asema nitulie atajibu 


Kuna majira vita huja kwangu 

Kuna majira watesi waliniunikia 

Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe 

Nikasikia sauti, sauti imebeba ushindi wangu 

Ikaniambia mimi ni Baba Yako 

Usipigane mwenyewe mwanangu 


Mwenzio sipiganagi mwenyewe 

Ninapiganiwa na Baba 

Mwenzio sishindani mwenyewe 

Ninashindiwa na Baba 

Mwenzio vita nimekataa 

Ninapiganiwa na Baba


Share