Wangejua

by Martha Mwaipaja

Haleluya aah 

Yeye ni Mungu akisema amesema 

Yeye ni Mungu

Yeye ni Baba akipanga amepanga 

Yeye ni Baba

Yeye ni vyote akisema amesema 

Yeye ni Mungu 

Yeye ni Mungu akipanga amepanga 

Maana ni Mungu 


Amesema hatutakuwa chini 

Ameshasema maana ni Mungu 

Amesema kesho yetu ni kubwa 

Kasema maana ni Mungu

Usilie amesema yeye ni Mungu 

Usichoke kasema Yeye ni Mungu 


Hawajajua amepanga mazuri Mungu 

Wangejua kesho yako ni hivi 

Wangejua wasingekukimbia 

Kwa sababu unalia wamekuchoka

Wangejua wangevumilia na wewe

Wangejua leo yako ni hii 

Yanayo nafuu wasingenitesa


Haleluya aah 

Yeye ni Mungu akisema amesema 

Yeye ni Mungu

Yeye ni Baba akipanga amepanga 

Yeye ni Baba

Yeye ni vyote akisema amesema 

Yeye ni Mungu 

Yeye ni Mungu akipanga amepanga 

Maana ni Mungu 


Kwa sababu tuko na Mungu 

Ndugu zangu vita tutaishinda 

Yeye ni Mungu akijibu ameshajibu

Mungu wetu yuko mbinguni 

Anatazama atende kwa haki


Wangejua wewe ni nani 

Wote wasingekukimbia 

Wangejua wewe ni nani 

Wote wasingekuacha

Wamekusukuma uende mbali 

Usijali Mungu anatenda kwa haki

Wamekushitaki ili uhukumiwe 

Usihofu Baba anajibu kwa haki 

Wangejua kesho yako hautailia 

Wangejua wangevumilia na wewe 

Kawaida ya watu wanachoka 

Wangejua wasingekuchoka 


Haleluya aah 

Yeye ni Mungu akisema amesema 

Yeye ni Mungu

Yeye ni Baba akipanga amepanga 

Yeye ni Baba

Yeye ni vyote akisema amesema 

Yeye ni Mungu 

Yeye ni Mungu akipanga amepanga 

Maana ni Mungu 


Share