Aliye Ndani Yangu

By Ali Mukhwana

Lyrics

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Uliye ndani yangu 

U mkuu kuliko wa duniani 

Uliye ndani yangu 

U mkuu kuliko wa duniani 


Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 


Umewafedhehesha wanaotafuta nafsi yangu 

Umewaangamiza wenye kiburi 

Umewaponda ponda wenye miaka Bwana 

Nikiwa nawewe Bwana mashaka mimi sina 


Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 


Sheria yako imo moyoni mwangu 

Kufanya mapenzi yako 

Lolote utakalo Bwana mimi nitafanya 

Lolote upendalo Bwana mimi nitatenda 

Kwa maana mimi udongo na wewe ni mfinyinzi  


Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 


Covenant keeping God 

I believe in You 

Covenant keeping God 

I believe in You 

Covenant keeping God 

I believe in You 


Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Music Video