Maombi Yangu

By Ali Mukhwana

Lyrics

Aiye simuachi Yesu 

Aiye simuachi Yesu 

Hata iweje simuachi Yesu 

Hata iweje simuachi Yesu 


Aiye simuachi Yesu 

Aiye simuachi Yesu 

Hata iweje simuachi Yesu 

Hata iweje simuachi Yesu 


Kitu gani kinitenge na upendo wa Mungu (Hakuna) 

Kitu gani kinitenge na upendo wa Baba (Hakuna)

Kitu gani kinitenge na upendo wa Yesu (Hakuna)

Iwe ni mali (Hakuna) 

Je wazazi (Hakuna)

Pesa kidogo (hakuna) mali kidogo (hakuna) 

Niwe ni chini (hakuna) Je masomo (hakuna) 

Nan'gang'ana 


Chorus 

Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye ×2 

Pasipo na njia unaitengeneza Njia ×2 

Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye ×2 

Pasipo na njia unaitengeneza Njia ×2 


Verse 1

Yanaonekana magumu 

Dunia imeshindwa 

madakitari wamejaribu pia wao wameshindwa 

lakini Bwana anasema mimi ndimi mti wa uzima 

njooni kwangu mpate Amani Oooh Bwana wangu 


Chorus 

Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2

Pasipo na njia unaitengeneza njia ×2

Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2

Pasipo na njia unaitengeneza njia ×2


Verse 2

Baba unasema watu wangu walioitwa kwa jina langu 

Watajinyenyekeza na kuomba 

na kutafuta Uso Wangu 

na kuacha Njia zao mbaya 

nitasikia kutoka mbinguni 

na kuwasamehe dhambi zao 

Bwana tusamehe dhambi za Dunia 

Bwana Uiponye inchi yangu tunaomba Bwana.


Chorus 

Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2 

Pasipo na njia unaitengeneza njia ×2 

Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2

Pasipo na njia unaitengeneza njia ×2


Verse 3

Haya magonjwa tunayo ona Mungu Wangu ooh 

ni kama Vumbi mbele zako Yatapita 

ni kama Vumbi mbele zako Yatapita yataangamia 

tunaimani na wewe tunaimani Bwana 

tunaimani na wewe utatenda Mungu Wangu 

nina imani na wewe 

nina imani Bwana 

nina imani na wewe 

Utaniponya na kunikomboa 


Chorus 

Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2

Pasipo na njia unaitengeneza njia ×2

Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2

Pasipo na njia unaitengeneza njia ×12Aiye simuachi Yesu 

Aiye simuachi Yesu 

Hata iweje simuachi Yesu 

Hata iweje simuachi Yesu 


Pamoja na Yesu (Pamoja na Yesu)

Pamoja na Yesu

Pamoja na Yesu


Iyeeee 

Yeye ni mfalme Bwana Yesu eeh 

Yeye ni mfalme Bwana Yesu eeh

Anatawala kote, kote kote

Yesu (Yesu, Yesu, Yesu)

Anatawala kote Bwana (Yesu, Yesu, Yesu)


Eeeh Yahweh twakutuza tukisema 

(Hakuna Mungu kama wewe)

Eeeh Yahweh twakutuza tukisema 

(Hakuna Mungu kama wewe)


Iyee Hakuna kama wewe, Mungu kama wewe 

Iyee Hakuna kama wewe, Mungu kama wewe


Eeeh Yahweh twakutuza tukisema 

(Hakuna Mungu kama wewe)

Eeeh Yahweh twakutuza tukisema 

(Hakuna Mungu kama wewe)

Ali Mukhwana Live Ministration MAOMBI YANGU.