Ni Wewe

By Angel Benard

Lyrics

Nimetoka mbali hadi hapa nilipo

Si kazi rahisi ii si kazi rahisi

Nikitafakari hivi nilivyo

Haikuwa rahisi eh haikuwa rahisi

Pamoja na ungumu mungu ulinishikilia

Nisirudi nyuma oh eii 

Si kuhofu nilidumu huku ukinishikilia


Nisikate tamaaeh mungu wewe

Wewe umekuwa ushindi wangu

Wewe umekuwa tumaini langu

Wewe umekuwa ushindi wangu

Wewe wewe wewe


Ukategua mitegoukanifanyia wigo

Ukaondoa mapigo yangu yote 

Ukategua mitego ukanifanyia wigo

Ukaondoa mapigo yangu yote

Pamoja na ungumu mungu ulinishikilia

Nisirudi nyuma oh eh

Si kuhofu nilidumu huku ukinishikilia


Nisikate tamaaeh mungu wewe.

Wewe umekuwa ushindi wangu

Wewe umekuwa tumaini langu

Wewe umekuwa ushindi wangu

Wewe wewe wewe