Jina Jipya Lyrics

By Derick Marton

Lyrics

Nilipewa majina mengin na wanadamu 

Waliniita kufeli na halikudumu 

Sababu Mungu alisema 

Sitakuwa wa mwisho bali wa kwanza


Waliniita kufeli, wakaniita masikini 

Wakasema siwezi, ukabadilisha sentensi yangu 

Kuwa wakati uliyopita 


Umenipa jina jipya 

Everybody say

So far is my name 

Prosper is my name 

Overcomer is my name 

Blessing is my name 


Oh ooh oh nina jina mpya ninaitwa mbarikiwa 

oh ooh oh jina nimepewa naitwa baraka

oh ooh ooh


Si unajua jina limebeba maana kubwa sana kwenye maisha 

Ndio maana Sarai aliitwa Sarah 

Abrahamu aliitwa Ibrahimu 

Yakobo aliitwa Israeli 

Sauli aliitwa Pauli


Walipobadilishiwa majina, kuna vitu kwao zilibadilika 

Hazikuwa kama mara ya kwanza, zilifanyika upya 

Atabadilisha sentensi yako kuwa wakati uliyopita

Umenipa jina jipya 


Umenipa jina jipya 

So far is my name 

Prosper is my name 

Overcomer is my name 

Blessing is my name 


Oh ooh oh nimepewa jina mpya ninaitwa mbarikiwa 

oh ooh oh jina nimepewa naitwa baraka


So far is my name 

Prosper is my name 

Overcomer is my name 

Blessing is my name 

Now Playing...