Lyrics

Moto ooh unaoteketea 

Moto ooh unaoteketea 

Wewe ndiwe tamaa yangu 

Wewe ndiwe tamaa yangu 


Roho wa Mungu nibatize mimi 

Roho wa Mungu unijaze tena 

Roho wa Mungu nibatize mimi 

Roho wa Mungu unijaze tena 


Niende wapi nikupate Mungu 

Unishawishi kwamba wewe hautakoma 

Moyo wangu ni wako, uhai wangu pia ni wako 

Moyo wangu ni wako, uhai wangu pia ni wako 


Moto ooh unaoteketea 

Moto ooh unaoteketea 

Wewe ndiwe tamaa yangu 

Wewe ndiwe tamaa yangu 


Roho wa Mungu nibatize mimi 

Roho wa Mungu unijaze tena 

Roho wa Mungu nibatize mimi 

Roho wa Mungu unijaze tena 


Niende wapi nikukwepe roho wa Mungu 

Unishawishi kwamba wewe hautakoma 

Moyo wangu ni wako, uhai wangu pia ni wako 

Moyo wangu ni wako, uhai wangu pia ni wako 


Solo: Waka waka, ndani yangu waka waka

Bass: waka waka

Solo: Teketea, ndani yangu teketea

Bass: Tekeketea

Saprano/Alto: Waka waka, ndani yangu waka waka

Bass: waka waka


Moto - Eunice Njeri