Nani Kama Wewe Live

By Eunice Njeri

Lyrics

Skiza Tune: Dial *811*345# 


Nani kama wewe

Nakuinua mungu wangu leo

Nani kama wewe

Nakupenda


Nani kama wewe

Nakuinua Mungu wangu leo

Nani kama wewe nakupenda

Miguuni pako nakuinamia Bwana

Heshima na utukufu Baba, nakupa Yesu 


Nani Kama Wewe Full Lyrics - Eunice Njeri

Eunice Njeri - Nani Kama Wewe {OFFICIAL VIDEO} HD